Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Khaligraph Jones atangaza kolabo na Jay Z

Fri, 26 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Kenya, Khaligraph Jones ameweka mipango yake ya kazi kwa mwaka huu.



Rapper huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Omollo’ ameeleza kuwa mwaka huu anaanza mwaka kwa kufanya kazi na kundi la Sauti Soul kutoka nchini humo na hadi mwaka kukamilika atakuwa na ngoma na Jay Z. Kupitia mtandao wa Instagram ameandika;

And Finally, Khaligraph Jones x Sauti Sol na

2018 ndio imeanza, by December ntakua Na Ngoma na Jay Z.

#respecttheogs

#OMOLLO

And Finally, Khaligraph Jones x Sauti Sol na 2018 ndio imeanza, by December ntakua Na Ngoma na Jay Z. #respecttheogs #OMOLLO

A post shared by Khaligraph jones (@khaligraph_jones) on

Chanzo: bongo5.com