Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Khaligraph Jones amuita 50 Cent Kenya

Jones X 50 Cent Khaligraph Jones amuita 50 Cent Kenya

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kufuatiwa na post ya ‘rapa’ kutoka nchini Marekani 50 Cent kuuliza mashabiki ni sehemu gani aanze kwenda ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya ‘Final Lap Tour’, huku moja ya sehemu alizotaja ikiwa Africa, msanii wa hip-hop kutoka nchini Kenya Khaligraph amemtaka ‘rapa’ huyo kutua nchini humo.

Kupitia post ya 50 Cent kwenye ukurasa wake wa Instagram, Khaligraph ame-comment na kumtaka Cent kutua nchini Kenya.

Kwa mtazamo wako 50 Cent anaweza kutua Kenya?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live