Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Khadija Kopa azidi kumkataa Diamond

Khadija Kopa Azidi Kumkataa Diamond Khadija Kopa azidi kumkataa Diamond

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mama mzazi wa Zuchu, Khadija Kopa anasema hana habari yoyote kuhusiana na uhusiano uliopo kati ya Diamond Platnumz na mwanae Zuchu.

Khadija Kopa amesema anafahamu kuwa Diamond ni Boss wa binti yake kama wana uhusiano basi atafahamu siku ambayo Diamond Platnumz ataenda kutoa mahari.

"Mimi sifahamu mambo sijui ya boyfriend mimi mtu mzima hayo mambo siyajui bwana. Mimi ninachoju Diamond ni bosi wa mwanangu," alisisitiza Khadija Kopa, Malkia wa Taarab nchini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live