Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Khadija Kopa aguswa na tatizo la Chid Benz, aomba wasanii wamsaidie

Khadija Kopa Aguswa Na Tatizo La Chid Benz, Aomba Wasanii Wamsaidie Khadija Kopa aguswa na tatizo la Chid Benz, aomba wasanii wamsaidie

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Malkia wa Mipasho Tanzania, Khadija Kopa amewaomba wasanii hususan vijana kumsaidia Chid Benzi katika sakata lake la kutopa kwenye matumizi ya madawa ya kulevya.

Khadija Kopa amefunguka hilo alipoulizwa mawazo yake kuhusiana na inshu hiyo ya Chid ambayo imeripotiwa kwa nguvu wiki iliyopita kwenye mitandao ya kijamii.

"Tumsaidie, vijana wenzake kwa kweli wamsaidie ili aweze kukaa sawa sababu mwenyewe amekiri kwamba alikosea basi tumsaidie wote na sio kumuacha. Nimeona Haji Manara amejitokeza basi tujitokeze tumsaidie," alisema Khadija Kopa.

Inaelezwa kuwa Chid ambaye aliwahi kwenda soba na kisha kutoka, kwa sasa ameendelea kutumia na sasa yupo kwenye hali mbaya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live