Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Khadija Kopa: Nilishamuonya Zuchu kabla hajafungiwa

Khadija Kopa: Nilishamuonya Zuchu Kabla Hajafungiwa Khadija Kopa: Nilishamuonya Zuchu kabla hajafungiwa

Fri, 8 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mama mzazi wa Msanii Zuchu, Bi. Khadija Kopa ametia neno juu ya adhabu aliyopewa mwanaye huko visiwani Zanzibar.

Kopa amesema kuwa hakuna jambo lisilokuwa na mwisho hivyo anaamini kuwa yatapita na maisha yataendelea.

Pia Khadija Kopa amesema kuwa siku chache kabla ya Zuchu kupewa adhabu hiyo alimuonya na baadae ndio ikatokea akapewa adhabu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live