Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kevo ajichora tattoo za mabilionea zaidi Duniani

Bandman Kevo Dsc Kevo ajichora tattoo za mabilionea zaidi Duniani

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Marekani Bandman Kevo, amezidi kuwa gumzo mitandaoni hii ni baada ya kushea video ikionyesha amechora Tattoo kwenye mwili wake yenye sura za matajiri wakubwa duniani.

Mwili wake kuanzia sehemu za mapajani amewachora mabilionea hao ikiwa ni pamoja na Elon Musk, Mark Zuckerberg, Jeff Bezos na Matajiri wengine.

Tajiri gani unaweza kumchora kwenye Mwili wako?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live