Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kevin Gates amtemea mate Shabiki mwenye ujauzito

Kevin Gates Spits In Fans Mouth Thats F Nasty Kevin Gates amtemea mate Shabiki mwenye ujauzito

Sun, 8 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka Marekani, Kevin Gates ameshika vichwa vingi vya habari baada ya kamera kumnasa akimtemea mate mdomoni shabiki mmoja mwenye ujauzito ambae alihudhuria kwenye show yake mwishoni mwa wiki hii.

Kitendo hicho kiliwashangaza watu wengi baada ya kuona shabiki huyo mwenye moyo tofauti ambae hakuonyesha kujali hali yake ya ujauzito pia alitupilia mbali kuhusu maambukizi kama vile "Covid 19" baada yake aliamua kupokea mate hayo mazito (kohozi) kutoka kwa mwanamuziki huyo akidai anampenda.

Vipi ungekuwa wewe ungeonyesha hivyo kwa msanii unaempenda?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live