Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kesi yamgeukia 'Ex' wake muigizaji Jonathan

Kesi Yamgeukia Ex Wake Muigizaji Jonathan Kesi yamgeukia 'Ex' wake muigizaji Jonathan

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dereva ambaye alikuwa eneo ambalo Jonathan Majors na Ex wake Grace walikuwa wakipigana ametoa ushahidi wake mahakamani na kudai kuwa Grace alimpiga Staa huyo wa filamu wakati wa ugomvi wao.

Dereva ambaye alikuwa eneo ambalo Jonathan Majors na Ex wake Grace walikuwa wakipigana ametoa ushahidi wake mahakamani na kudai kuwa Grace alimpiga Staa huyo wa filamu wakati wa ugomvi wao. Jonathan anatuhumiwa kwa kumfanyia vurugu Ex wake Grace wakati wakigomabania simu muda mfupi baada ya Grace kuhisi Jonathan alikuwa akitumiana meseji na mwanamke mwingine na ushuhuda wa Dereva huyo unaonesha chanzo kikubwa cha vurugu ilikuwa na Grace na sio Jonathan.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live