Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kenny: Mke sio sababu ya mimi kutemana na Diamond

Kenny: Mke Sio Sababu Ya Mimi Kutemana Na Diamond Kenny: Mke sio sababu ya mimi kutemana na Diamond

Wed, 21 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muongozaji wa Video Tz Director Kenny amefunguka sababu zilizompelekea kuacha kufanya kazi na Staa wa Muziki @diamondplatnumz huku akidai kuwa stori za kuwa #Diamond alitoka kimapenzi na aliekuwa Mpenzi wake kuwa ndio sababu hata yeye zilikuwa zinamshangaza.

Muongozaji wa Video Tz Director Kenny amefunguka sababu zilizompelekea kuacha kufanya kazi na Staa wa Muziki @diamondplatnumz huku akidai kuwa stori za kuwa #Diamond alitoka kimapenzi na aliekuwa Mpenzi wake kuwa ndio sababu hata yeye zilikuwa zinamshangaza. Akiwa kwenye mahojiano na #XXL ya #CloudsFM #Kenny amesema kuwa sababu kubwa iliyopelekea wao kuacha kufanya kazi ilikuwa ni Biashara tu na huwenda muda wowote wakarudi kufanya kazi pamoja. .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live