Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kendrick Lamar kwenye Orodha ya Mastaa waaminifu

Kendrick X Whitney Kendrick Lamar kwenye Orodha ya Mastaa waaminifu

Fri, 29 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Kendrick lamar ameingia kwenye orodha ya ‘mastaa’ waaminifu zaidi kwenye mahusiano baada ya kuwa na mpenzi mmoja tu.

Kendrick na mpenzi wake Whitney walisoma pamoja na kumaliza masomo yao mwaka 2005, na wakati wapo shule walianza kuwa marafiki wa karibu kisha baadaye wakaingia kwenye mahusiano ya kimapenzi.

Pamoja na Kendrick kuwa mwanamuziki maarufu lakini bado anatambua na kuthamini mchango wa mwanamke huyo huku akiweka wazi kuwa ndiye mshauri namba moja kwenye maisha yake.

Kendrick alimvalisha Pete ya Uchumba Whitney mwaka 2015, na mpaka sasa wamebahatika kupata watoto wawili ambao ni #Uzi na #Enock.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live