Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kendrick Lamar atoka patupu Tuzo za Grammy

Kendrick Lamar 4 Awards Kendrick Lamar atoka patupu Tuzo za Grammy

Mon, 5 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Hip-Hop kutokea Marekani, Kendrick Lamar amekuwa mmoja ya wasanii ambao hawajaambulia hata tuzo moja ya GRAMMY kwa usiku wa jana katika vipengele vyote vitatu alivyokuwa akiwania

Lamar alikuwa akiwania katika vipengele kama;

*Music Video - Count Me Out,

*Rap Performance - The Hillbillies na

*Music Film - Kendrick Lamar Live: The Big Steppers Tour

Mwaka jana katika tuzo hizohizo Kendrick Lamar alishinda tuzo katika kipengele cha 'Best Rap Albam' kupitia albam yake ya "Mr.Morale & The Big Steppers"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live