Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kayumba afunguka madai ya kusaini Next Level Music

Kayumba Kayumba afunguka madai ya kusaini Next Level Music

Tue, 6 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Kayumba amesema, tetesi za kwamba amesainiwa katika lebo ya Next Level Music zimeibuka kwa sababu ya ukaribu wake na Rayvanny.

Amesema amekuwa akipiga stori kwa ukaribu na hata kufanya kolabo na bosi huyo hivyo itakuwa ndio sababu ya watu kuzungumza kwamba huwenda amesaini Next Level.

“Mimi Rayavanny ni mshkaji tunashirikiana naye kwenye mambo mengi angekuwa anataka nijiunge katika lebo yake angekuwa ameniambia, sisi ni marafiki tu,” alisema Kayumba.

Kayumba ni mshindi wa Shindano la Bongo Star Search 2015 na sasa anaendelea kufanya poa kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live