Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kayumba: Uwoya ananisaidia pesa ya video

Images   2022 10 01T165627.jpeg Kayumba: Uwoya ananisaidia pesa ya video

Sun, 2 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Kayumba amefunga juu ya Ukaribu wake na Muigizaji wa Filamu Irene Uwoya kwa sasa, Amesema kuwa yeye na #Uwoya ni Washikaji na kuna muda huwa anamsaidia Hela kwa ajili ya kushoot Video.

Akizungumza katika Kipindi cha #FreshWeekend cha #WasafiFm Kayumba Amesema...

"Hivi sasa Kayumba amebaki kama mshikaji, tunawasiliana pia kuna muda ananisaidia Hela ya kushuti Video za Nyimbo zangu, hakuna chochote zaidi ya Ushikaji tu.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live