Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kava ya Money Mondays ya Vanessa Mdee yawekwa wazi

435 25008524 375147772949765 5376644961137590272 N TZW

Wed, 20 Dec 2017 Chanzo: bongo5.com

Dalili ya mvua ni mawingu. Hatimaye Vanessa Mdee ameachia kava la albamu yake mpya aliyoipa jina la ‘Money Mondays’ ambayo bado haijatoka.

Dalili ya mvua ni mawingu. Hatimaye Vanessa Mdee ameachia kava la albamu yake mpya aliyoipa jina la ‘Money Mondays’ ambayo bado haijatoka. Vee Money ameonyesha kava hilo kupitia mtandao wake wa Instagram na kuthibitisha hiyo ndio yenyewe kwa kuandika, “This is the official album cover #MoneyMondaysTheAlbum

Chanzo: bongo5.com