Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kauli ya T Touch kwa wasanii aliofanya nao kazi

TTouch1 Kauli ya T Touch kwa wasanii aliofanya nao kazi

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Producer wa muziki Mr T Touch anasema wasanii aliowatengeneza kupitia mikono yake na kufanya nao kazi wana nguvu pia hajawahi kufanya kazi na msanii halafu asipate pesa.

"Mimi wasanii wote niliowatengeneza kwenye hii game wapo strong, anza na Billnass, Darassa na Nay Wa Mitego, kwanza sijawahi kufanya kazi na msanii asipate pesa".

Mr T Touchez anasema sio kama anajigamba bali ni kuonesha uwezo wake wa kufanya kazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live