Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kauli ya Roma kuhusu bifu la Hip Hop linaloendelea

ROMA+PIC Kauli ya Roma kuhusu bifu la Hip Hop linaloendelea

Sat, 26 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kufuatia bifu la wasanii wa Hip Hop kutoka Kenya na Tanzania kuendelea kutikisa, msanii Roma Mkatoliki naye ametoa ombi lake kupitia X.

Roma ameandika hivi:

Ombi Langu Kwenu Mashabiki Zetu Na Media Zetu, Huu Muamko Mnaouonyesha Sasa Kwenye Haya Yanayoendelea Katika Tasnia Yetu Ya HipHop, Hii Attention Enye Mnaipa Game Ya Rap Now, Mungu Akawafanyie Wepesi Ikawe Na Consistency Kwenu Isiishe Baada Ya Siku Tatu Kama Inavoishaga Siku Zote!! Hawa Wasanii Wetu Pendwa MnaowaMention Watoe Dis Track Sasa Na Wengineo, Please Wapeni Attention Hii Hii Wanapotoa Projects Zao Zingine Hata Kama Hazitahusu Dis/Battle!! Nunueni Albums Zao Wakitoa, Nendeni Mka-Stream Kwenye Platform Zao Wanapotoa Mixtape Na Ep’s Zao, Wakiandaa Show Zao Ibukeni Kwa Wingi Na Kwa Mzuka Na Love HiiHii Mnayoionyesha Sasa!!

NA HUKO SASA NDIO KUCHANGAMSHA GAME KWA UKWELI SASA!!

Nendeni Mkaongeze Numbers Kwenye Mauzo Ya Projects Zao #DigitalPlatform Na Huko Ndiko Biashara Ya Muziki Ilipo Kwa Sasa Duniani Kote!!

Wasanii Watatengeneza Pesa Na Watapiga Hatua……Period‼️

#NB Msijizime Data Pale Wanapotoa Projects Zao Na Baadaye Mnakuja Kusema Game Imepoa????

Mimi Nimeiona Game Kwa Angle Hiyo, Sasa Sijui Kama Na-Make Sense ????Au Niko Mpepe ????

Kama Niko Wrong NIPUUZENI!!????

#NB Msiwakatishe Tamaa Wale Wanaotoaga Ngoma Za Ku-Battle Kwa Kuwaambia HIP HOP SIO TAARAB,HIP HOP SIO KUCHAMBANA, UNAIMBA HIPHOP MIPASHO!!

Wakati Leo Hii Hiyo Hiyo Mnayoiita Mipasho/Kuchambana/Dis Ndio Mnaitaka Waifanye!!

#HAMUELEWEKI_MNATAKAGA_NINI????

Basi Atatokea Mtu Atacomment

ACHAAAA KUANDIKA ANDIKA UNAJIELEZEA SANAAAA INGIA STUDIO CHAANAAAA????????????

Utafkiri Ukishachana Basi Ata-stream, kumbe ndio wale wa Oyaaaa Mudiiii Ntumie Whatssap Hiyoooo!!???? Kazi KweliKweli

Chanzo: www.tanzaniaweb.live