Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kauli ya Rayvanny yazua taharuki "Kila lenye mwanzo lina mwisho"

Rayvanny 379.jpeg Rayvanny

Sat, 4 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki Rayvanny kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe ambao umewashangaza wengi baada ya kusema hivi..

"Kila chenye mwanzo hakikosi mwisho. Siamini kama huu ni mwisho ila naziona Dakika za mwisho.

"Tulianza pamoja! Tulifurahi, tulishinda sana, Ila acha tumalize Dakika za mwisho pamoja kesho #Dakikazamwisho," amesema Rayvanny.

Je unafikiri nikipi anachokiimaanisha #Rayvanny?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live