Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kauli ya Kajala yakoleza ukweli binti yake kuwa mjamzito

Kauli Ya Kajala Yakoleza Ukweli Binti Yake Kuwa Mjamzito Kauli ya Kajala yakoleza ukweli binti yake kuwa mjamzito

Wed, 7 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huwenda ujumbe wa Staa, Kajala akimwambia mtoto wake Paula kuwa muda wa yeye kuitwa bibi ulikuwa bado kidogo ukathibitisha kuwa mtoto wake na Staa wa muziki Marioo wanatarajia kupata mtoto hivi karibuni.

Huwenda ujumbe wa Staa, Kajala akimwambia mtoto wake Paula kuwa muda wa yeye kuitwa bibi ulikuwa bado kidogo ukathibitisha kuwa mtoto wake na Staa wa muziki Marioo wanatarajia kupata mtoto hivi karibuni. "Don’t forgive shit, people know exactly what they’re doing…. #sexbibi ila paula muda wa kuwa bibi ulikuwa bado kidogo jamani" aliandika Kajala kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live