Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kauli ya BASATA baada ya Nay kukaidi wito mara mbili (+Video)

Nay Wa Mitego Army Mwanamuziki Nay wa Mitego

Wed, 6 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeeleza kusikitishwa kwake na Mwanamuziki Ney wa Mitego ambae ameitwa mara mbili na walezi hao wa Sanaa nchini lakini amekaidi wito huo.

Aidha BASATA wamesema kuwa suala Msanii huyo kuhitajika mbele ya vyombo vya Dola sio suala lao kwani wao hawana mamlaka hayo.

Yote haya yanakuja baada ya Mwanamuziki huyo kuachia wimbo wake wa 'Amkeni'

Wasikilize BASATA wakizungumza kwenye Video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Baraza la Sanaa (BASATA) (@basata.tanzania)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live