Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanye ashusha bomu jingine kwa Kim

Kanye Wizzy Bomb Kanye adai kumfumania Kim na mcheza Kikapu

Fri, 2 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya kumalizika kwa mchakato wa talaka baina yao, Kanye West hakuwa amemalizana vyema na Kim Kardashian.

Leo amepasua Jipu la mwisho na kuiteka mitandao yote duniani. YE kupitia ukurasa wake wa Twitter amefunguka kwamba aliwahi kumfumania Kim Kardashian na nyota wa NBA, Chris Paul.

Hata hivyo akaunti ya Kanye West haikuwa na muda mrefu wa kuendelea kuwepo Twitter kwani imefungiwa tena na Elon Musk ambaye alisema YE amevuka mipaka sasa kwa kauli zake za kumsifia Dikteta Adolf Hitler pamoja na kuibua tena masuala ya Wayahudi.

Tazama hapa chini tweey ya Kanye;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live