Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanye amuingiza rasmi mwanaye kwenye muziki

Kanye Amuingiza Rasmi Mwanaye Kwenye Muziki Kanye amuingiza rasmi mwanaye kwenye muziki

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Kanye West amemtambulisha rasmi mtoto wake NorthWest katika ulimwengu wa muziki kwa kumshirikisha kwenye Album yake mpya ya ‘Vulteres’.

North West mwenye umri wa miaka 10 amepiga verse yake ya kwanza kwenye wimbo ambao mpaka sasa haujajulikana, mpaka pale Album hiyo itakapo toka siku ya Ijumaa December 15 mwaka huu.

North West ni mtoto wa kwanza kati ya watoto wanne ambao mwanamuziki Kanye alizaa na mfanyabiashara Kim Kardashian.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live