Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanye amsikilizisha J Prince Album yake

Kanye With J Prince Kanye amsikilizisha J Prince Album yake

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kanye West amemsikilizisha J Prince Album yake mpya huko nchini Saudi Arabia, Mdau huyo wa masuala ya Muziki nchini Marekani alikuwa na hili la kusema “Imekuwa vizuri kusikiliza baadhi ya Album mpya na washkaji hapa Saudi Arabia.

Kanye West amemsikilizisha J Prince Album yake mpya huko nchini Saudi Arabia, Mdau huyo wa masuala ya Muziki nchini Marekani alikuwa na hili la kusema “Imekuwa vizuri kusikiliza baadhi ya Album mpya na washkaji hapa Saudi Arabia. "Ni ya moto.” alizungumza J Prince.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live