Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanye ajipanga kujenga mji wake

Kanye West Wayahudi Kanye ajipanga kujenga mji wake

Thu, 21 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Kanye West anatarajia kujenga mji wake Mashariki ya Kati katika eneo lenye ukubwa wa ekari 100,000, ambapo utakuwa mji mkubwa zaidi kushinda jiji la #Paris.

Taarifa hiyo ya kujenga ilichapishwa kupitia mtandao wa X siku ya jana Jumatano kwenye ukurasa wa UnreleasedYe ambapo ilitolewa kama tangazo la kutafuta wafanyakazi wa kujenga mji huo.

Hii si mara kwanza kwa Kanye kuripotiwa kutaka kujenga mji wake mwaka jana pia alikuwa na mpango wa kujenga mji nchini Marekani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live