Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanye West kumfungulia mashtaka Yes Julz

Kanye West Kumfungulia Mashtaka Yes Julz Kanye West kumfungulia mashtaka Yes Julz

Mon, 18 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

KanyeWest inaripotiwa kuwa atafungua kesi mahakamani dhidi ya #YesJulz ya $8,000,000 (Tsh.Bilioni 20.4+) akidai kukiuka mara nyingi mkataba wao wa NDA.

KanyeWest inaripotiwa kuwa atafungua kesi mahakamani dhidi ya #YesJulz ya $8,000,000 (Tsh.Bilioni 20.4+) akidai kukiuka mara nyingi mkataba wao wa NDA. Yes Julz ni meneja maarufu wa mitandao ya kijamii na kipaji ambaye amekuwa akifanya kazi kwa karibu na Ye wakati wa kuzindua albam yake mpya ya #Vultures1. Mjadala huo wa kutatanisha ulianza kujitokeza Jumanne (Machi 12) kwenye Insta Story ya #Ye, ambapo aliandika , " Tumeamua kutomshirikisha tena #YesJulz katika utangazaji wa #Vultures.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live