Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanye West hajulikani alipo

Kanye Amliza Kim Kanye na Kim

Sat, 31 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kupitia nyaraka za mahakama zilizodakwa na mtandao wa Radar Online, rapa Kanye West 'YE' ametajwa kutoonekana na haijulikani yupo wapi kwa wiki kadhaa sasa na hata kwenye mawasiliano yake hapatikani.

Kwa mujibu wa Thomas St. John ambaye alikuwa meneja wake.

St. John ameeleza kupata shida ya kumtafuta YE ikiwa ni wiki kadhaa zimepita sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live