Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanye West awaomba radhi Wayahudi

Kanye West Post.jpeg Kanye West awaomba radhi Wayahudi

Tue, 26 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa’ kutoka nchini Marekani, Kanye West ametoka hadharani na kuiomba radhi jamii ya Wayahudi kufuatia na maneno na vitendo vyake vilivyozua chuki kwa jamii hiyo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kanye ameeleza kuwa anajuta kutoa maoni dhidi ya Wayahudi kwa kudai kuwa hakuwa na nia ya kuumiza wala kuidhalilisha jamii hiyo.

Ikumbukwe kuwa kupitia maoni yake yalionesha chuki dhidi ya Wayahudi yalimfanya kupoteza mikataba ya kazi na makampuni mbalimbali ikiwemo Adidas.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live