Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanye West amzodoa Cardi B: Walimleta ili kumpoteza Nicki Minaj

Kanye Nick Picha ya Kanye West kushoto kulia ni Cardi B

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni Headlines za Kanye West 'YE' ambaye kuna clips videos zake zimevuja kupitia Documentary yake ya 2018 akiwazungumzia wasanii Cardi B, Nas, Teyana Taylor na Pusha T.

Moja ya clip video iliyovuja amesikika akimchana Cardi B akisema rapa huyo wa kike ni kama mmea amepandwa kujaribu kuchukua nafasi ya Nicki Minaj kwenye Game.

"Cardi B ni mmea, haandiki nyimbo zake za kufoka. Walimweka hapo kujaribu kuchukua nafasi ya Nicki Minaj kimakusudi. Anafikiri ni baraka kutoka kwa ulimwengu, sio baraka za kufurahisha" amesema Kanye West

Chanzo: www.tanzaniaweb.live