Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanye West alitaka penzi la Michelle Obama

Kanye X Michelle Obama Kanye West alitaka penzi la Michelle Obama

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa asiyeishiwa matukio kutoka ardhi ya Joe Biden, Kanye West al-maaarufu kama 'Ye' amefunguka kulitamani penzi la mwanamama Michelle Obama ambaye ni mke wa aliyewahi kuwa Rais wa 44 wa Marekani Barack Obama.

Katika mahojiano yake aliyoyafanya na Justin LAboy Kanye aliulizwa ikitokea anatakiwa kushiriki tendo la ndoa na wanawake wawili atamchagua nani ndipo akamtaja Michelle Obama.

"Michelle Obama nitamchagua, itanipa sifa ya kulala na mke wa Rais" alisema Kanye West huku akiambatanisha kicheko cha nguvu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live