Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanye West akanusha kung'oa meno na kuweka ya bandia

Kanye Meno.jpeg Kanye West akanusha kung'oa meno na kuweka ya bandia

Thu, 18 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya wadau mbalimbali kudai kuwa huwenda Rapa #KanyeWest akawa ameng'oa meno yake na kuweka ya Bandia (Grills za Titani) zinazo kadiriwa kuwa na thamani ya $ $850K (Tsh Bilioni 2.1). . Mtu wa karibu na #YE kimeiambia #RapTv kuwa Rapa huyo hajang'olewa meno bali amebadika tu Meno hayo ambayo atakuwa anayatoa muda wowote. . Kupitia Instastory ya Rapa huyo alishare picha akiwa amevalia Meno hayo ya thamani kisha akashare baadhi ya filamu ambazo # JamesBond akiwa amevalia meno hayo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live