Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanye West aipa Adidas hasara ya Trilioni 1.2

Kanye Na Adidas.png Kanye West aipa Adidas hasara ya Trilioni 1.2

Thu, 9 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya Adidas ipo hatarini kuzidiwa na wapinzani wao, Puma katika kutawala Soko la Biashara ya Mchezo wa Soka kutokana na kuelekea kupata hasara ya Pauni Milioni 450 (Tsh Trilioni 1.2)

Hasara hiyo kubwa kwa mara ya kwanza ndani ya Miaka 30 inatokana na kutouza bidhaa za 'Yeezy' walizoshirikiana na Mwanamuziki Kanye West ikielezwa zina thamani ya Pauni Bilioni 1.1 (Tsh. Trilioni 3)

Baadhi ya wachezaji wanaovaa viatu vya Adidas ni Lionel Messi, Mohamed Salah na Paul Pogba na wana mkataba wa kuuza vifaa na jezi za Manchester United wakati Puma hivi karibuni iliingia mkataba na #JackGrealish pia ina mkataba na Neymar na ManchesterCity.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live