Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanye West adai ana tatizo la akili

Kanye West Wayahudi Kanye West adai ana tatizo la akili

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki na mwanamitindo Kanye West amedai kuwa ana dalili za ugonjwa wa akili ambazo zilisababishwa na ajali aliyoipata Oktoba, 2002.

Kanye alimtumia rafiki yake wa karibu Connor screenshoot za text alizokuwa akimtumia Elon Musk ambazo hazikujibiwa, na kumwambia rafiki yake huyo aweze kuzisambaza mitandaoni.

Ambapo kupitia moja ya text hizo Kanye West amewafunga midomo wale wote waliokuwa wakimsema kuwa ni mtu wa kubadilika badilika na kueleza kuwa habadiliki bali anadalili za ugonjwa wa akili kutokana na ajali ya gari.

Kanye alipata ajali hiyo Oktoba 2002 na iliyosababisha kuvunjika taya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live