Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanye West abadili jina Insta, amchana Kim Kardashian

Kanyeszzz Kanye West abadili jina Insta, amchana Kim Kardashian

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa kutoka Marekani Kanye West(46), amebadili jina (User name) alilokuwa anatumia Instagram na sasa anatambuliwa kama @Ye.

Mshindi huyo wa Tuzo 24 za Grammy alikuwa akilitaja jina hilo la 'Ye' mara kadhaa lakini hivi sasa ndio amefikia uamuzi wa kubadili jina lake

Kwenye akaunti hiyo, Kaneye amemfollow mtu mmoja ambaye ni msanii mwenzake, @tydollasign.

Aidha, Kanye amemlalamikia mzazi mwenzake, Kim Kardashian kwa kumtenga yeye kama baba kuwaona watoto wake na kuwapa haki yao ya malezi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live