Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanye West, Ty Dolla washtakiwa kwa wizi wa wimbo

Kanye West, Ty Dolla Washtakiwa Kwa Wizi Wa Wimbo Kanye West, Ty Dolla washtakiwa kwa wizi wa wimbo

Wed, 28 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mastaa Kanye West na Ty Dolla $ign wanadaiwa kujihusisha na wizi wa wazi baada ya kusample wimbo wa #IFeelLove wa Mwaka 1977 kutoka kwa Msanii #SummerBruce . Mume wa #Summer, #Sudano anadai #West na mshirika wake #TyDolla$ign walijihusisha na wizi wa wazi walipochukua sampuli ya wimbo maarufu wa #Summer 1977 #IFeelLove kwenye wimbo wao uliopo #Vultures1 uliotolewa hivi majuzi #Good (Don’t Die). . Malalamiko ya ukiukaji wa hakimiliki yanasema #West na #TyDolla$ign, bila aibu waliiba wameufananisha wazi wimbo wao na wa #Sammer baada ya kuomba ruhusa na kukataliwa, Inadaiwa wimbo huo haukutakiwa kuhusishwa na Historia mbaya ya Magharibi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live