Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kanye: Essence ya Wizkid ni wimbo bora

Kenya Wizkid.jpeg Wizkid na Kanye

Mon, 5 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapper Kanye West kupitia ukurasa wake wa Instagram ameupigia salute wimbo wa "Essence" wa Mwimbaji wa Nigeria Wizkid ft. Tems na kusema wimbo huo ni wimbo bora zaidi katika historia ya muziki hadi sasa.

Wimbo wa "Essence" ambao upo kwenye album ya nne ya Wizkid iitwayo "Made in Lagos" uliachiwa tarehe 30 October mwaka 2020 huku video yake iliyofanyika Accra, Ghana ikiachiwa April 2021 ambapo mpaka sasa wimbo huu umeshinda Tuzo 10 ikiwemo ya Best Collaboration kwenye Tuzo za BET 2022 na nominations ikiwemo ya Tuzo za 64 za Grammy.

Wimbo huu pia umetajwa kuwa wimbo wa kwanza wa Nigeria kwenye historia ya dunia kutamba kwenye chati za muziki za dunia za 100 bora za Billboard na 200 kali za Billboard.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live