Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kama una mimba ya Rayvanny hainihusu - Fahyma

FAHYMAAA Fahyma na Rayvanny

Tue, 3 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamitindo maarufu Bongo ambaye pia ni mzazi mwenzake na supastaa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa 'Rayvanny' mwanadada Fahyma kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amejibu mapigo kuhusu sakata la mwanamke mmoja anayedai kuwa na ujauzito Rayvanny.

Kwenye chapisho Fahyma alikuwa na hasira sana kwamba unaweza kusoma hasira yake kutokana na maneno yake. Alimwonya bi dada huyo akimwambia aache kumjumuisha katika ujauzito wake na Rayvanny.

"Mimi huwa sipendi kugombana ila wewe dada @jessyntibi umenifika kooni kutwa kwenye Dm yangu kunichamba na kuongea maneno yasiyo na maana please niache sasa kama una mimba ya Rayvany mimi inanihusu nini mxieew, niache staki @jessyntibi @jessyntibi umezidi hebu nisaidieni kwenda kumchamba," aliandika Fahyvanny.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live