Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kama una digrii na hujapanda Rolls Royce haina maana- Mwijaku

Mwijaku Pic Data Kama una digrii na hujapanda Rolls Royce haina maana- Mwijaku

Thu, 1 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji wa Clouds FM, Mwijaku anaeleza namna watu wenye elimu ya degree kuwa hazina maana kwa kuwa hawajawahi kupanda gari aina ya Rolls Royce.

Hii ni baada ya kuulizwa na Baba Levo elimu yako imekusaidia nini na Mwijaku kujaribu kieleza namna watu wenye degree kama wamefeli maisha kisa hawajapanda gari aina ya Rolls Royce.

Mwijaku ameenda mbali zaidi akisema kuwa kwa aina ya maisha anayoishi kwa sasa hata nyumbani kwao Kigoma harudi tena na atakiwa anaenda kusalimia tu.

Ikumbukwe kuwa Mwijaku ni mmoja ya watu wanaojitapa sana kwa kusema ana degree mbili za UDSM na Mzumbe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live