Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kama masihara! TID aingia kwenye anga za NETFLIX

TID Netflix Kama masihara! TID aingia kwenye anga za NETFLIX

Mon, 22 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtoto mdogo! Kama asemavyo TID kila akiwa kwenye mitikasi yake ya kila siku. Hatimaye challenge yake iliyovuma kwa kasi baada ya mahojiano yake 'akim-mind' bodaboda aliyepita wakati wa mahojiano yake na media fulani imewafikia kampuni kubwa ya usambazaji wa filamu ulimwenguni.

Mtoto mdogo! Kama asemavyo TID kila akiwa kwenye mitikasi yake ya kila siku. Hatimaye challenge yake iliyovuma kwa kasi baada ya mahojiano yake 'akim-mind' bodaboda aliyepita wakati wa mahojiano yake na media fulani imewafikia kampuni kubwa ya usambazaji wa filamu ulimwenguni. Kupitia 'ofisho' page ya Netflix wameweka chapisho la tangazo la filamu mbili "Blood &Water" na "Bridgerton" wakisindikiza na caption "Why between my interview you're passing around?" Yakiwa ni maneno ya TID Mnyama.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live