Menu ›
Burudani
Sat, 2 Sep 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mwana HipHop Kalapina "Nabii Koko" amefunguka style yake ya kuziba jicho moja akisema ni ubunifu wa utambulisho wake katika kutafuta utofauti na upekee wa muonekano.
"Hii ni Identity yangu unajua sanaa ni ubunifu lazima uwe tofauti na upekee wa kitu chako mtu akikuona ajue yule ni mtu fulani. Sina tatizo lote la jicho ni style". amesema Kalapina
Style gani ya msanii wa Bongo inakuvutia zaidi?
Chanzo: www.tanzaniaweb.live