Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kaka wa Michael Jackson atuhumiwa kwa Ubakaji

Jermaine Jackson Kaka wa marehemu Michael Jackson, Jermaine Jackson

Mon, 1 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kaka wa marehemu Michael Jackson, Jermaine Jackson amefunguliwa kesi ya unyanyasaji wa kingono na Rita Butler Barrett aliyedai kubakwa na mkali huyo wa Pop mwaka 1988.

Kufuatiwa na nyaraka zilizowasilishwa mahakamani zinaeleza kuwa Jermaine aliingia nyumbani kwa Rita kwa kutumia nguvu na kumbaka na kusababisha majeraha mwilini.

Rita aliwekawazi kuwa hakuzungumza kwa wakati huo kutokana na kutishiwa na mwanamuziki huyo huku sababu ya kufufua kesi hiyo ni kuhusiana na kuanzishwa sheria ya kufufua kesi za unyanyasaji wa kijinsia.

Ikumbukwe kuwa ma-staa kadhaa wamekumbana na kesi kama hizo wakiwemo Vin Diesel, Diddy, Cuba na wengineo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live