Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kaka wa Diamond alia maisha magumu

Romy Jons Kaka wa Diamond alia maisha magumu

Sat, 25 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kaka wa mwanamuziki #Diamond, Romy Jons amefunguka kwa kueleza kuwa licha ya yeye kuwa na kibarua lakini bado maisha ni magumu.

@romyjons kupitia ukurasa wake wa #Instagram amewauliza swali mashabiki wake labda kuna sehemu watu wamekosea ndiyo maana maisha magumu huku akiweka wazi kuwa hata yeye mwenye vibarua viwili vitatu lakini kuipata hiyo pesa imekuwa ni kashehe.

Vipi kwa upande wako hali ni tete kama kwa #Romy?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live