Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kajala na Paula wafungua duka jipya

Kajala Na Paula Wafungua Duka Jipya Kajala na Paula wafungua duka jipya

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji Kajala Masanja na mwanaye Paula, wamefungua duka jipya la mavazi maeneo ya Sinza Mori jijini Dar.

Kajala akiambatana na mwanaye, wameshuhudiwa na waandishi wa habari wakizundua duka hilo Oktoba 29, 2023.

"Tumefungua duka hili kubwa zaidi baada ya lile la awali la maeneo ya Mwenge kulifunga kwa muda mrefu kidogo. Tumehamia hapa Mori, karibuni sana wateja wetu," alisema Kajala.

Duka hilo kwa sasa wamelipa majina mamiwili; Paula Kajala.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live