Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kajala aonesha unyunyu wa laki sita

KAJALA PAFYUMU Kajala aonesha unyunyu wa laki sita

Wed, 22 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mrembo Kajala Masanja ni miongoni mwa watu wanaopenda kunukia vizuri muda wote, Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Instastory) ametuonesha moja ya Perfume zake ya thamani.

Mrembo Kajala Masanja ni miongoni mwa watu wanaopenda kunukia vizuri muda wote, Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Instastory) ametuonesha moja ya Perfume zake ya thamani. Pafyumu hiyo iitwayo AtelierDesOrs nina thamani ya zaidi ya 600,000 hivyo unaweza kuona ni jinsi gani mrembo huyu anaweza kuwa wa thamani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live