Menu ›
Burudani
Thu, 18 Apr 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Muigizaji Kajala Masanja amemuomba radhi mzazi mwenziye P Funk kwa kuwa mara kadhaa amekuwa akimkosea kwa kufanya mambo yaliyomuudhi.
Kajala ametoa kauli hiyo usiku wa kuamkia leo Aprili 18, 2024 kwenye shughuli ya baby shower ya bintiye Paula.
"Nitumie nafasi hii kumuomba radhi Paul, nimekuwa nikimkosea mara kwa mara na kwa kweli mtu ambaye amekuwa akinisaidia sana kwenye jambo lolote la kunihusisha mimi na Paula ni Samira ambaye ni mke wa P Funk," alisema Kajala.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live