Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kajala amtoa machozi Paulah, amnunulia ndinga mpya

Kajala Amtoa Machozi Paulah, Amnunulia Ndinga Mpya Kajala amtoa machozi Paulah, amnunulia ndinga mpya

Mon, 9 Jan 2023 Chanzo: Eatv

Staa wa filamu nchini Kajala Masanja amemfanyia surprise binti yake Paulah kwa kumnunulia gari mpya aina ya Crown jambo lililomfanya mwanaye huyo kutokwa machozi ya furaha.

Staa wa filamu nchini Kajala Masanja amemfanyia surprise binti yake Paulah kwa kumnunulia gari mpya aina ya Crown jambo lililomfanya mwanaye huyo kutokwa machozi ya furaha. Zaidi tazama hapa tukio zima la Kajala alivyomsurprise Paulah kwa kumpa ndinga mpya. 

Chanzo: Eatv