Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kajala amng'oa Meneja wa Harmonize Konde Gang

Kajala Harmo Mmari Kajala amng'oa Meneja wa Harmonize Konde Gang

Wed, 8 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ogopa mno kuchanganya mapenzi na kazi! Saa kadhaa baada ya Harmonize au Konde Boy kumtangaza Kajala Masanja au Mama Paul kuwa C.E.O na meneja wake mpya, meneja mwingine wa jamaa huyo, Beauty Mmari almaarufu Mjerumani anadaiwa kufungasha virago.

Katika ukurasa wake wa Instagram, Mjerumani ameondoa utambulisho wa kuwa yeye ni meneja katika lebo hiyo ya Konde Music Worldwide; kwa kifupi Konde Gang.

Jambo hilo limeacha maswali kwa wadau mbalimbali wa muziki kuwa huwenda akawa ameachana na lebo hiyo rasmi baada ya utambulisho wa Kajala.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live