Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kajala ajiachia na 'mkwewe' Marioo

Kajala Na Marioo Kajala ajiachia na 'mkwewe' Marioo

Mon, 8 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji Kajala Masanja na msanii wa Bongo Fleva, Marioo wanaonekana kuelewana kinyama kufuatia kuonekana wakiwa pamoja na kucheza pamoja.

Kajala ameonekana nyumbani kwa Marioo akicheza kibwagizo cha wimbo mpya wa Marioo uliopo kwenye albamu yake ya The Kid You Know.

Kajala ameonekana akijiachia bila wasi kitovu nje wakidansi na kufurahi pamoja na Marioo.

Ikumbukwe mtoto wa Kajala, Paula kwa sasa ndiyo mpenzi wa Marioo hivyo ni kama mtu na mkwewe wanacheza pamoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live