Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kajala, Zaylissa hawawakumbuki wanaume waliowahi kutoka nao

Zaylissa Harmoz Kajala, Zaylissa hawawakumbuki wanaume waliowahi kutoka nao

Wed, 20 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mastaa wa Bongo Muvi, nchini Kajala Masanja na Zaylissa wote kwa pamoja wanaonekana kupoteza kumbukumbu za mahusiano yao waliyopita kiasi ambacho kila mmoja hakumbuki kama huko nyuma alishawakuwa na mahusiano na mtu yeyote.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Global TV Online, mastaa hao waliweka wazi kuwa hawajui chochote cha nyuma kilichopita kuhusiana na mahusiano yao yaliyopita.

Itakumbukwa kuwa, kabla ya kuolewa na haji Manara, Zaylissa alikuwa ameolewa na masanii wa Singeli, Dullah Makabila.

Kwa upande wa kajala yeye alikuwa kwenye mahusiano na supastaa wa Bongo Fleva, Harmonize kabla ya kumwagana na sasa mahusiano yake mapya ameamua kuyaweka private.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live