Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kajala: Nishamaliza kutembea na watu maarufu

KAJALA NA HARMONIZE Kajala: Nishamaliza kutembea na watu maarufu

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa Kajala amefunguka kwa sasa yupo kwenye mahusiano na mtu ambae sio Maarufu kwa sababu hakutaka tena mtu maarufu kwani ameshamalizana na hayo mambo. . Usiku wa jana yeye pamoja na mwanae #Paula walizindua duka lao la nguo,Wakati akifanyiwa mahojiano na Waandishi wa Habari #Kajala alisema....

Staa Kajala amefunguka kwa sasa yupo kwenye mahusiano na mtu ambae sio Maarufu kwa sababu hakutaka tena mtu maarufu kwani ameshamalizana na hayo mambo. . Usiku wa jana yeye pamoja na mwanae #Paula walizindua duka lao la nguo,Wakati akifanyiwa mahojiano na Waandishi wa Habari #Kajala alisema.... "Sikutaka mtu anaejulikana kwa sababu nimeshamalizana na hayo mambo , Nilitaka mtu ambae nitamujua mimi na familia yangu, Alinifuata mwenyewe mimi sijawahi kufuata mwanaume ni Mwanaume niliekuwa namuhitaji na ni mtu sahihi kwangu kwa sababu kwanza anamcha Mungu" . Mbali na hivyo #Kajala alifunguka kuwa hivi karibuni mashabiki zake watarajiwe Ndoa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live