Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kajala: Ninataka mwanaume wa kutulia naye

Kajala Amjibu Kiaina Harmonize Kajala na Harmonize

Tue, 14 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Mpenzi wa Harmonize "FridaKajala" amefunguka kuwa kwa sasa anataka kutulia na Mwanaume mmoja na hataki Mwanaume wake awe na ushindani wowote kwenye mahusiano yake.

Mashabiki wengi wamekuwa wanajiuliza Je! Mrembo huyo tayari amepata Mwanaume wa kuendana nae ⁉️.

Kupitia InstaStory Kajala amesema; "Mtu wangu hatakuwa kwenye mashindano na mwanaume mwingine. Sitojali unaonekana vipi, ana nini, au awe nanini. Mwanaume wangu atakuwa daima ananivutia na mzuri zaidi machoni pangu."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live