Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kabla ya Mwaka 2017 kuisha, Umeouna usia aliouandika Shettah kwa mwanae?

826 Screen Shot 2017 12 30 At 7.36.36 AM 660x400.png TZW

Sat, 30 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Kama ni mpenzi na mfatiliaji wa maisha ya Mastaa na Familia zao nakusogezea hii ya Shettah aka Baba Qayllah ambaye kupitia ukurasa wake wa Instagram ameamua kumuandikia mwanae wosia  juu ya maisha yake ya baadae, Shettah kaandika>> ‘Mwanangu Najua kuna watu wanakusubiri subiri ukue kue walete mambo yao ya Kukunyapia nyapia Sasa ninachokuhusia mwanangu Baba Yako nina kila kitu asijudanganye Mtu ukaingia laini ukakazika kijinga jinga Kaza mwanangu’.

Shettah kwa sasa ni baba wa watoto wawili wa kwanza ni Qayllah na wa pili ni Qamrah.

 

> Mwanangu Najua kuna watu wanakusubiri subiri ukue kue walete mambo yao ya Kukunyapia nyapia Sasa ninachokuhusia mwanangu Baba Yako nina kila kitu asijudanganye Mtu ukaingia laini ukakazika kijinga jinga Kaza mwanangu…. !! @officialqayllah

Chanzo: millardayo.com